Jinsi ya ku'block namba ya simu

Jinsi ya ku'block namba ya simu

hance09

Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
14
Reaction score
0
Mamboz! Naomba kufahamishwa jinsi ya kum'block mtu by codes na pia jins ya ku'forward incoming call from one phone to another,ahsanten!
 
Kila simu ina namna yake! Sasa taja aina ya simu unayotumia ufahamishwe!
 
Hata mm nahitaji msaada ktk hili maana nimejaribu kutumia true caller lkn cjafanikiwa naiseti simu sihitaji kuwacliana na MTU kinachotokea MTU hiyo anaponipigia simu inaita kidogo then inakata sasa hili silitaki ninachokitaka nisipatikane kabisaaaa msaada tafadhali
 
ili usipatikane kabisa inabidi android wenyewe ndio waeke hio feature au mtandao wa simu.

ila hizi njia za kawaida siku zote hazipo sawa asilimia 100% utakuta tu udhaifu
 
Ukiblock napga kwa # nyingine !!!!!!
 
ili usipatikane kabisa inabidi android wenyewe ndio waeke hio feature au mtandao wa simu.

ila hizi njia za kawaida siku zote hazipo sawa asilimia 100% utakuta tu udhaifu
huwaga kuna codes unaingiza then # ya cm then unasend
 
Mamboz! Naomba kufahamishwa jinsi ya kum'block mtu by codes na pia jins ya ku'forward incoming call from one phone to another,ahsanten!
Tupa hiyo line alafu kasajiri nyingine. Huo ndo msaada 100%
 
Back
Top Bottom