Jinsi ya kubadilisha Display kwenye Min laptop

Jinsi ya kubadilisha Display kwenye Min laptop

gwambali

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
230
Reaction score
76
Habari wakuu?

Mimi ni mtaalamu kiasi wa computer, nina min laptop ya samsung n220plus ambayo imekufa display yake, nahitaji kuibadilisha, tafadhali naombeni maelezo yenu maana sijawai badilisha display za hivi vi min laptop.

Pia nimejaribu kuingia kwenye website ya samsung hawajaweka namna ya kubadilisha display kwenye mashine hizi... Pia nime google sijapata site yenye maelekezo ya laptop hizi...

Natanguliza shukrani zangu.
 
mara nyingi tatizo huwa likuwa kupata screen ya kufit hapo ila kama imepatikana, mchezo umekwisha fungua iliyopo note hatua kwa hatua unazopitia... then weka hiyo mpya anza kuifunga kama ulivyokuta hiyo nyingine imefungwa.... that is all ....usitegemee kukuta namna ya kubadilisha screen kwenye site ya manufacture yeyote cha zaidi sana atakushauri ununue laptop mpya....
 
Mkuu, kweli kabisa kazi ni kuipata... Nimeangaika kuitafuta hadi nimeipata..... Na uzuri ni kuwa niliyo nunua ina maelekezo ndani yake...Naona wafanya biashara wa bongo wamesusia kabisa kuagiza vifaa vya namna hii.
 
Nakushauri uende kwa fundi akubadilishie...sababu u neva know wat will hapen...kuongea ni rahisi kuliko kufanya plus unaweza haribu na kupata hasara kwanini uchezee shilling chooni.

goodluck mkuu!!
 
Nakushauri uende kwa fundi akubadilishie...sababu u neva know wat will hapen...kuongea ni rahisi kuliko kufanya plus unaweza haribu na kupata hasara kwanini uchezee shilling chooni.

goodluck mkuu!!

Asante kwa ushauri wako mkuu, but tayari nimeibadilisha na ndio naitumia sasa hivi.... Utakiwi kuwa muoga ukitaka kujifunza kitu, kuharibu ni sehemu ya kujifunza mkuu.......
 
Back
Top Bottom