Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Hi wanajamvi, wakuu mimi ni mtumiaji wa ''Wapsite'' na simu yangu ni Nokia 2700 classic. Tatizo kubwa linalonisumbua ni kuapload picha keys za kuapload for wapsite user hufunguka vizuri mpaka hatua ya kuambatanisha/attach tatizo linakuja kuanza pale unapochagua key ya upload inagoma. Wataalam wa gadgates naombeni msaada nifuate steps zipi ili nifanikiwe. Natunguliza shukrani!!