Wabari wakuu
Simu yangu ni Samsung S advance GT-I9070,android version yake ni 2.3.6 lakini nataka kui-upgrade mpaka android version 4.2.
Je,natakiwa nifanyaje ili ni upgrade na kuna madhara yoyote naweza nikayapata nikifail ku-upgrade vuzuri?
Natanguliza shukrani kwenu wakuu.