Jinsi ya ku update windows 8

Jinsi ya ku update windows 8

Joined
Jul 16, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Wadau naombeni msaada nifanye nn ili ni update pc yangu .. yan nilisha weka windows 8 ila inanambia ni update
 
Usidanganywe ili uweze kuupdate inabidi uwe na e-mail account ya Microsoft ambazo aidha ni hotmail,msn.Kuhusu activators zipo humu humu JF tafuta kwenye nyuzi za nyuma inaitwa KMSpico .Fanya mwenyewe usilipishwe hata shilingi na mtu ni bandwidth zako tu.
 
Kama anakuandikia KuUpdate anamaanisha ni kutoka Windows 8 mpaka Windows 8.1 nenda windows store au website ya microsoft kuna link ya update ifuate itaUpdate lakini ikiandika Activate Window ndo unatumia Window activators.
 
Umefanya vema ndugu yangu matata,

mwendo uwe ni hu huu kuwafichua mafedhuli.

Mh.Mkandara,
nafikiri sasa utakuwa umepata mwanga kidogo kuhusu degree za wakina Nchimbi

Na njaa za kisomi ziko vp kama hizi ni za kijinga?
 
Back
Top Bottom