sixty nine69 Member Joined Jul 30, 2014 Posts 66 Reaction score 14 Sep 29, 2014 #1 Wadau HTC yangu inatumia EDGE kwenye upande wa network sasa kunajamaa ameniambia kuwa naweza kuibadilisha ikatumia 3G kwa kui root Msaada wenu unahitajika kakita kufanya hii process kama inawezekana
Wadau HTC yangu inatumia EDGE kwenye upande wa network sasa kunajamaa ameniambia kuwa naweza kuibadilisha ikatumia 3G kwa kui root Msaada wenu unahitajika kakita kufanya hii process kama inawezekana
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,073 Reaction score 43,524 Sep 29, 2014 #2 kakudanganya huyo jamaa. ni htc gani?
sixty nine69 Member Joined Jul 30, 2014 Posts 66 Reaction score 14 Sep 29, 2014 Thread starter #3 chief-mkwawa said: kakudanganya huyo jamaa. ni htc gani? Click to expand... HTC T327T Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
chief-mkwawa said: kakudanganya huyo jamaa. ni htc gani? Click to expand... HTC T327T Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,073 Reaction score 43,524 Sep 29, 2014 #4 sixty nine69 said: HTC T327T Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Click to expand... hizo simu zinazoishiwa na t ni za china network yao ya td cdma. ila chip ya simu yako inakubali 3g hivyo upo uwezo wa kuirudisha. kwanza nenda setting then mobile network then network mode eka iwe wcdma. kama haipo nsomee ulichokikuta. ikikataa itabidi iekwe firmware ya nchi yenye 3g, hili itabidi uende kwa fundi au huyo jamaa aliokwambia uroot anaweza kuwa sahihi kama ana tweak ya kufanya kwenye os
sixty nine69 said: HTC T327T Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Click to expand... hizo simu zinazoishiwa na t ni za china network yao ya td cdma. ila chip ya simu yako inakubali 3g hivyo upo uwezo wa kuirudisha. kwanza nenda setting then mobile network then network mode eka iwe wcdma. kama haipo nsomee ulichokikuta. ikikataa itabidi iekwe firmware ya nchi yenye 3g, hili itabidi uende kwa fundi au huyo jamaa aliokwambia uroot anaweza kuwa sahihi kama ana tweak ya kufanya kwenye os
sixty nine69 Member Joined Jul 30, 2014 Posts 66 Reaction score 14 Sep 29, 2014 Thread starter #5 Mkuu unaweza kunipa namba yako ili tuelekezane vizuriii Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu unaweza kunipa namba yako ili tuelekezane vizuriii Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums