luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,406
Habari wakuu nmepewa aina hiyo ya simu na ndugu yangu anaeishi nje ya nchi lakini kila nkitaka ku reset inaniandkia cannot connect to the iCloud wakati passcode na passwords zote nnazo.
Nenda setting>Restore kwa kutumia itunesHabari wakuu nmepewa aina hiyo ya simu na ndugu yangu anaeishi nje ya nchi lakini kila nkitaka ku reset inaniandkia cannot connect to the iCloud wakati passcode na passwords zote nnazo.
Itabidi urestore kwa kutumia itune kwenye computer yako lakini uwe na uhakika na icloud na password yake unazo kwasababu wakati inawaka uatatakiwa kuconfirm. guud luckHabari wakuu nmepewa aina hiyo ya simu na ndugu yangu anaeishi nje ya nchi lakini kila nkitaka ku reset inaniandkia cannot connect to the iCloud wakati passcode na passwords zote nnazo.
nipigie pia nikupe maelekezo.0764196887Nenda setting>Restore kwa kutumia itunes
Itabidi urestore kwa kutumia itune kwenye computer yako lakini uwe na uhakika na icloud na password yake unazo kwasababu wakati inawaka uatatakiwa kuconfirm. guud luck