makandomende
Member
- Sep 2, 2013
- 82
- 43
Mimi nimefanikiwa ndugu kitu cha msingi ni kufuata masharti ya ku-apply, do not upload documents of greater than 5MB???? hapo ndo panasumbua klidogo...jaribu tena hakuna rushwa hapo ni jinsi ya wewe unavyoweza kutumia computer...Hata mimi nimekwama kabisa , ubabaishaji mtupu wakati maneno ni simple na yanaeleweka.
Mbona ni simple sana mkuu mi nimefanya jana hata haijanisumbua au labda watu washakua wengi.Kwa baadhi ambao tayari tuna account za hiyo portal yao, uki-login inakurudisha mwanzo kabisa kana kwamba hukuwahi kujisajili nao.
Mbona ni simple sana mkuu mi nimefanya jana hata haijanisumbua au labda watu washakua wengi.Hata mimi nimekwama kabisa , ubabaishaji mtupu wakati maneno ni simple na yanaeleweka.
naomba kuuliza mwisho wa kutuma maombi ilikuwa ni lini???