sheria na kanuni za kufanya hvyo znatofautiana kulingana na chuo husika. So nenda kwanza chuon ujue sheria zao. Kwa UDSM ni lazma vgezo au perfomance ilyokufanya uchagulie koz hyo ni lazma imeet na perfomance au vgezo wanavyovitaka katka koz unayotaka kuhamia na pia iwe unahama withn the college mfano kwa UDSM ni vgumu kutoka college ya CASS kwenda UDBS. So cjui kwa vyuo vngne. Jarbu kufka chuon kwako.