Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Nafikiri hii ingepelekwa jukwaa la sayansi na teknolojiaHabari zenu wakuu,
Imekuwa ni vigumu sana kwa watumiaji wa simu kukisia zile tarakimu za voucher za simu ili kuongeza salio. Wengi wanao kisia hizo namba za simu huwa wanakosea na ukikisia mara nyingi namba yako inafungiwa.
SASA, mwenye elimu na utashi juu ya hizi voucher zinavyotengenezwa yaani formula inayotumika kutengeneza hizo voucher ili watu washindwe kukisia atushirikishe nasi pia tu faham.
Wanatumia PROBABILITY
Mmh! ukweli ni kwamba,hakuna teknolojia kubwa sana inayotumika kutengeneza vocha,kinachofanyika ni ku print tarakimu 14 ambazo kwa vyovyote huwezi kuzipatia zote kama unataka kufoji,na kwa kuwa maelfu ya vocha yanakuwa printed,kuna tahadhari kubwa inafanywa ambayo ni sawa na mbinu ya kijeshi,muone kabla hajakuona,ktk mbinu hiyo ndo maana ukijaribu kufoji zaidi ya mara kumi unafungiwa line,kwa nini wanafanya hivyo? ni kwa sababu ukirudia mara nyingi zaidi,mwisho wa siku lazima utapatia tu,that's why kuna restrictions hizo,wabongo mbona mna akili ndogo hivyo? ndo maana mnaendelea kuchagua ccm pamoja na kuwa,ni afadhali ya kinyesi utakigeuza mbolea kuliko ccm ambayo ni mauti ya watanzania,I HATE THESE PEOPLE,wameshatutesa vya kutosha,wakiendelea kuiba kura,option will be military rebelion,KARIBUNI MNING'OE KUCHA,AU MNIUE,TUMESHACHOKA,ukatili wenu ccm ipo siku mtaulipa,time will tell,SIWAPENDI KABISA NYIE WATU.

Watanzania mnajitia mnajua sana kufoji vitu lkn kwenye hiyo teknolojia ya vocha mtakesha mkitafuta majibu, solution ni kununua vocha kihalali huwez kufoji mkuu
i dnt buy voucher