Jinsi vitambulusho feki vinavyotumika NBAA mitihani ya CPA

Tairus

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
676
1,055
Kwa wale waliopitia na wanaoendelea kufanya mitiani ya bodi mnafahamu hivi vitambulisho vinavyotumika.
Sasa ukiangalia msimamizi anakagua picha ya kitambulisho na kuona kama inafanana na mtahiniwa kwa kumuangalia usoni alafu ndio anamruhusu aingie.
Fikiria kama ukiamua kubadili ile picha tuu na kuweka ya mtu unaetaka akufanyie mtihani kazi imeisha.
Nadhani ifike wakati system hii ibadilike na kama hilo haliwezekani basi kuwepo na picha za wahusika wakati wanaingia mlangoni ambazo msisimizi atahakiki na kujiridhisha na ya kwenye kitambulisho.

Tairus.



You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
wabongo wanavyopenda vyeti badala ya maarifa.. huchelewi kuta wameweka mamluki wawafanyie pepa
Yaani wewe unawaza kama Mimi , wabongo wanapenda sana vyeti, hasa walioajiriwa serikalini, utakuta MTU analalamika wakati uwezo wake wa kazi mdogo kisa ana cheti cha Masters, eti oooh Fulani Mkuu wa Idara hata Masters hana, pumbaafu kabisa tutafute maarifa sio vyeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo siyo kwa board tuu. Bali ni sehemu zote, hata utumishi kwenye interview, kule kwa wakandarasi na hata kwa wavaa suti pia utaratibu ni huo.

Ngoja ikifika mwezi may 7 nitafanya hivyo.

Just jokes nisije kufutiwa ka Intermediate kangu bure, maana bado C1 na C2 niwe certified.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom