Jinsi tamaa ya kwenda South Africa inavyowaumiza vichwa wadau

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,231
Heshima kwenu

Poleni kwa majukumu ya kila siku,
Nafurahi kuona uzima upo kwako hasa kipindi hiki Cha hatari ya magojwa mengi, wewe u mzima.

Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja.

Ndugu zanguni kimaisha huwa hatuwezi kufanan wote tukawa sawa, kisura, kifedha/kiuchumi nk. Pamoja na hayo yote Ukifanya tathimini utagungua kwamba nchi ya Afrika Kusini iko vizuri kiuchumi, yani kimaendeleo wamejitahidi sana.

Kwa hatua hiyo imesababisha watu wengi kutamani kwenda huko kujitafutia riziki zao ili maisha yasonge mbele. Ingawa pia nchi hyo ina mambo mengi na vituko vingi tena vibaya wanavyofanyiwa wageni lakini bado Waafrica wengi wanatamani kutia miguu tu.

Binafsi nilifanikiwa kumpata mchumba wa kike ambae yuko jiji la Durban, tutapeana namba ni mwaka 3 sasa tangu tumefahamiana. Zaidi anatamani niende ili kama vipi tuoane. Mwaka wa jana alikuja kunitembelea, tuliongea mengi, ni mtu mzima, mzuri ila kifuani mhhhh noma.

Pamoja na hayo yote moyo wangu bado unasita hasa ninaposikia matendo wanayofanyiwa wageni.

Ndugu zangu nifanyeje?

Kila ninapo soma nyuzi za JF kuhusu huko ni matatizo "Ingawa wengi wanaumiza kichwa ili wafike.

Jamani Durban pako vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don Dada umempagawisha mtu mpaka anakuita "My Dad" halafu unataka kumkatili nini sasa?

Kama ungekuwa huna mpango naye usingemkoroga miaka mitatu yote hiyo.

Ama mwambie aje aishi Bongo, ama nenda South ukajichanganye.

Wenzako wanatafuta fursa hizo, wewe unajiuliza ufunge au usifunge goli?

Tena huyo unaweza kumleta Dar watu tukala mpunga wa harusi, ukitoka hapo mnaamua mkae TZ au muende South.

Hahaa.

Miaka mitatu kama ulikuwa huna mpango naye ushampotezea muda sana hapo.
 
Kwa kukutaarifu tu

Moyo wa binadamu ni $ 15000 kwenye soko la black market

Ini ambalo ni lizima kabisa halijaguswa na chembe ya dalili za ugonjwa wowote ni $27000

Mapafu $8300

Figo ni $5500

Viungo vingine kama maskio, pua na koromeo ni makubaliano yenu, lakini hapo hamnahamna mtu hakosi $4000 kwa vyote

Macho saivi yameshuka bei $1200

Tendom $350

Small intestine China wananunua kwa $1000

Your body Is full package of wealth.

Take care MfalmewaKiha
 
Don Dada umempagawisha mtu mpaka anakuita "My Dad" halafu unataka kumkatili nini sasa?

Kama ungekuwa huna mpango naye usingemkoroga miaka mitatu yote hiyo.

Ama mwambie aje aishi Bongo, ama nenda South ukajichanganye.

Wenzako wanatafuta fursa hizo, wewe unajiuliza ufunge au usifunge goli?

Tena huyo unaweza kumleta Dar watu tukala mpunga wa harusi, ukitoka hapo mnaamua mkae TZ au muende South.

Hahaa.

Miaka mitatu kama ulikuwa huna mpango naye ushampotezea muda sana hapo.
Kuishi Bongo amekataa anasema wazazi wanamtegemea sana, wazazi wake wapo Easten Cape kama sikosei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don Dada umempagawisha mtu mpaka anakuita "My Dad" halafu unataka kumkatili nini sasa?

Kama ungekuwa huna mpango naye usingemkoroga miaka mitatu yote hiyo.

Ama mwambie aje aishi Bongo, ama nenda South ukajichanganye.

Wenzako wanatafuta fursa hizo, wewe unajiuliza ufunge au usifunge goli?

Tena huyo unaweza kumleta Dar watu tukala mpunga wa harusi, ukitoka hapo mnaamua mkae TZ au muende South.

Hahaa.

Miaka mitatu kama ulikuwa huna mpango naye ushampotezea muda sana hapo.
By the way nyota ya hao viumbe ninayo, Botswana nina km 4, USA 1, Rwanda 2, kote nahitajika ki ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye yupo Durban

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutakia heri ikiwa utaenda au hutaenda, kizuri ni kuwa muwazi kwake tu na kukubali ukweli wa moyo wako mwenyewe.

Umempenda kiasi cha kubadii makao?

Ukibadili makoa, mazuri ya hilo ni yapi na mabaya ya hilo ni yapi?

Ukisema usibadili makao, mazuri ya hilo ni yapi na mabaya ni yapi?

Halafu unapiga hesabu kuangalia wapi kuna uzito zaidi.
 
Nipo napambana kutamka "Phuma kumntu ilwa impi engena scoco". Hata sielewi kilichoandikwa.
Hiyo hapo
Screenshot_20200306-221104.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakutakia heri ikiwa utaenda au hutaenda, kizuri ni kuwa muwazi kwake tu na kukubali ukweli wa moyo wako mwenyewe.

Umempenda kiasi cha kubadii makao?

Ukibadili makoa, mazuri ya hilo ni yapi na mabaya ya hilo ni yapi?

Ukisema usibadili makao, mazuri ya hilo ni yapi na mabaya ni yapi?

Halafu unapiga hesabu kuangalia wapi kuna uzito zaidi.
Kwa maisha ya Bongo duuuu , ngoja tu nijipange nikimbie,potelea mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa mkuu ila wanawake wa kisauzi sio wa kuwaamini anaweza hata akakuuza. Sikutishi ila ndio ukweli. Kapambane ila uwe na uangalifu wa hali ya juu. Usisahau kupima HIV/AIDS nae kwa kipimo kikubwa cha damu kile kinachoonesha kila kitu hata kama akinywa ARV kwa mpigo. Hakikisha unajua kazi yake huko sauzi na wewe ujue unachoenda kufanya usije kuwa jambazi au muuza madawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom