Jinsi Ratiba ya EPL ilivyopangwa kumbeba Liverpool, ni makusudi au coincidence?

Basi wacha tu-assume wewe una akili kuliko hao waingereza waliopanga hiyo ratiba. Ina maana kabla ligi haijaanza walishajua Liver, leicester na Man city watakuwa kwenye nafasi tatu za juu?
 
Hakika mtoa mada hajui kitu kuhusu EPL kule tofauti na bongo wanafanya vitu vyenye uhakika uwezi kukuta timu inaviporo 12 kama bongo ratiba inapangwa miezi miwili kabla ligi kuanza hawana mzingira ya kuibeba timu kwenye ratiba kama kulalamika walitakiwa walalamike Liverpool walicheza mechi mbili ndani ya masaa 24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtakuwa mabingwa wa EPL msimu huu hilo probability yake ni 80% as of now. Kilichoanza kuzungumziwa now ni je mtaweza kuivunja rekodi ya Gunners??
 
Umekimbia kule kwenye uzi alioanzisha mwehu mwenzako umekuja kuanzisha uzi mwingine huku.

Uwage na akili basi we jamaa.

Ratiba ya EPL huwa haipangwi kila Wiki, huwa inapangwa kabla Ligi haijaanza.

Mbona Liverpool walitakiwa wacheze na Aston Villa kwenye Carabao Cup and within 24 hours wacheze tena na Flamengo kwenye Club World Cup na watu wametulia tu.

Safari hii haters mtajifungua huku mnatembea!!
 
Wolves watawafunga Liverpool... usini-TAG
 
Liverpool washaandaliwa kuwa mabingwa
fuatilia baadhi ya mechi ambazo walikuwa wanapoteza ila kwa kubenwabebwa wakatoka na point angalia mechi dhidi ya lecister city
mechi dhidi ya Tottenham
na mechi dhidi ya Man city
kama sio kubebwa kungekuwa na gepu la point zsizo zidi 6
 
Duuuh!!

Basi sawa Liverpool wanabebwa na tufanye tofauti kwa sasa ni pointi 6.

Haya leta hoja ya msingi tukuelewe unachotaka.
 
Liver atakuwa hachezi?
 
ww mbona husogei pande hizi mpaka uishiwe Bando je ni hiyari au coincidence? 🖕🖕🖕kagawane na Liverpool haters wenzio K*ma ww
 
ulaya siyo hivyo.acha porojo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…