Mrndumbarojl
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 115
- 135
Acha Maumivu ya Kuhesabu Gharama za Kuagiza Kutoka China!
Je, unatumia saa nyingi kufanya mahesabu magumu ya gharama za kuagiza bidhaa kutoka China (Loos Cargo)? Unapoteza muda, unachanganyikiwa, na bado hujui gharama halisi utakazokutana nazo?
Usijali tena! Nimekuandalia suluhisho la uhakika.
Excel Template yangu ya kipekee imetengenezwa mahususi kukusaidia wewe mfanyabiashara, kuhesabu kwa haraka na kwa usahihi gharama zote za kuagiza bidhaa zako.
Hapa ndiyo Faida Utakazopata:
Usahihi wa Mahesabu:
Katika Excel Template hii, unahitaji tu kuingiza:
Bei ya bidhaa ulizopewa na supplier,
Kiasi unachotaka kuagiza (kwa vipande, seti, tani, au kulingana na invoice),
Uzito wa mzigo (ikiwa unatumia usafirishaji kwa ndege),
Ujazo wa mzigo (ikiwa unatumia usafirishaji kwa meli).
Template yetu ya kipekee ina dashboard ya kirafiki itakayokuongoza hatua kwa hatua na kukupa preview za chaguzi ulizozijaza, huku ukizingatia vipimo halisi vya bidhaa ulivyopata kutoka kwa supplier wako.
Kwa hiyo, hautalazimika kufanya mahesabu magumu — mfumo unatumia data hizi kufanya kukokotoa gharama
Acha Kuhofia Udanganyifu: Nimejumuisha mfumo unaokusaidia kutathmini hatari. Pia, kama una wasiwasi, ninaweza kukuelekeza kwenye njia salama ya malipo ambapo pesa hutolewa tu baada ya bidhaa kufika salama kwa wakala wako wa usafirishaji.
Uchaguzi Rahisi: Chagua aina ya usafirishaji (ndege au meli) na template itakupa mahesabu yote ya gharama husika.
Okoa Muda na Pesa: Acha kutumia muda mwingi kwenye mahesabu! Tumia muda huo kutafuta biashara bora na uongeze faida yako.
Excel Template hii inatumia data halisi kutoka kwa kampuni za usafirishaji na wastani wa gharama za nchi zotekanda ya Afrika Mashariki, hivyo una uhakika wa kupata matokeo ya kuaminika.
Wewe unatafuta biashara bora, mimi nakuandalia mahesabu!
Je, uko tayari kuagiza bidhaa kutoka China kwa ujasiri na uhakika?
Wasiliana nami sasa upate template yako na ushauri zaidi.
Mrndumbarojl
0626201426