Jinsi Patrizia Gucci alivyokamatwa kimasihara katika kesi ya mauaji mume wake wa zamani

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,314
4,032
PATRIZIA GUCCI


Baada ya kuwa maurizio gucci ameuwawa kwa kupigwa risasi polisi walihangaika kwa kuonganisha doti kwa kipindi cha miaka mitatu.

Hadi hapo walipoamua kuja na idea moja nzuri kwa kuwa walikuwa wamesha mshtukia patrizia ambae alikuwa ex wa maurizio gucci mrithi wa ufalme wa kampuni ya urembo ya GUCCI na ambae alikuwa amesha pata partner mwingine

Siku hio polisi alimpigia simu patrizia akiwa anajifanya yeye ni hitman (muuaji) aliemuua Maurizio akidai kiasi kilichobaki kwa kukamilisha kazi. Katika content ya maongezi ya patrizia iliuonesha direct kabisa kuhusika na kifo cha maurizio.

Baada ya kukamatwa yeye na wote waliohusika, patrizia alifungwa miaka 29 na muuaji (hitman) akipewa kifungo cha maisha.

Awali Maurizio akupenda jinsi patrizia alivyo anza kuact. Akili yake yote iligeuka kuwa juu ya pesa na tamaa za mali.

Maurizio aliamua kumuacha Patrizia na kumpa talaka huku akimpatia kiasi cha dollar 1.47milion na makubaliano ya kutotumia jina la gucci tena.



Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…