Haiwezekani kuwa ni wewe tu unaomba msamaha hata pale mkeo anapokuwa amechepuka ; lazima amekufanyia maarifa ya kiswahili [ limbwata] kwani hiyo sio hali halisi ya mwanaume lijali kuongoza nyumba yake!!
Ndio nyie mkiwa home mnafanywa mabwege na hamna say kwa wake zenu halafu huku mnajifanya wababe tuwaone wanaume kumbe siri unaijua mwenyewe unavyopelekeshwa home..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.