Hahahah ww sasa ndo kiboko.Mi nishawahi temeshwa nywele na simu wakabeba hhahaaaaa mweee
Pole mkuu......nilishaga wahi kulizwa kwa njia ya mitandao m-pesa.
jamaa mmoja alihack(mpaka leo sijajua aliwezaje) namba ya bosi wangu, kisha jamaa akanitumia ujumbe huu' NITUMIE 130,000/= KWENYE NAMBA HII 075.......(nishaisahau) simu yangu imeshiwa moto".
siku ile sikuwa na balance salio kwenye simu, na niliona uvivu kuweka ili nimuulize, na kwa vile haikuwa mara ya kwanza kupokea ujumbe kama huo kutoka kwa boss wangu nikatuma kweli. daaah nilikuja kugundua kuwa nimeibiwa baada ya yule jamaa(tapeli) anani text sms ya kuniomba nimtumie tena 120,000/= ndipo nikastuka kwa vile boss wangu ataombaje hela nyingine ilihali fedha ya mauzo hata yeye anaijua ilikuwa 140K. NILILIA SANA kwa vile ndio kwanza nilikuwa natoka kijijin na mshahara wenyewe ni 50,000. ndipo iliponibidi nifanye kazi miezi mitatu bila malipo SITASAHAU!!
Duuu hiyo inaitwa karibu mwanza....niliwahi kutapeliwa kijanga sana tulipanda basi ubungo la kwenda mwanza kuna jamaa tulikuwa tumekaa naye siti 1 pale gari ilipoanza kuondoka akaniomba elf 5 anunue vocha alisema yeye ana elfu kumi hivyo chenji ingesumbua akamuita muuza vocha hakutokea akaniambia ngoja nishuke chini ninunue mwenyewe dah sikumuon atena mwaka nafika mwanza.ni pesa ndogo lakini alitumia technique sana na nivigumu kugundua kama ni utapeli maana hela yenyewe aliyoomba ni ndogo.
Waliniingiza kingi kiulainiiiHahahah ww sasa ndo kiboko.
nilishaga wahi kulizwa kwa njia ya mitandao m-pesa.
jamaa mmoja alihack(mpaka leo sijajua aliwezaje) namba ya bosi wangu, kisha jamaa akanitumia ujumbe huu' NITUMIE 130,000/= KWENYE NAMBA HII 075.......(nishaisahau) simu yangu imeshiwa moto".
siku ile sikuwa na balance salio kwenye simu, na niliona uvivu kuweka ili nimuulize, na kwa vile haikuwa mara ya kwanza kupokea ujumbe kama huo kutoka kwa boss wangu nikatuma kweli. daaah nilikuja kugundua kuwa nimeibiwa baada ya yule jamaa(tapeli) anani text sms ya kuniomba nimtumie tena 120,000/= ndipo nikastuka kwa vile boss wangu ataombaje hela nyingine ilihali fedha ya mauzo hata yeye anaijua ilikuwa 140K. NILILIA SANA kwa vile ndio kwanza nilikuwa natoka kijijin na mshahara wenyewe ni 50,000. ndipo iliponibidi nifanye kazi miezi mitatu bila malipo SITASAHAU!!
Unajua kutoa majibu hadi mtu ajione mjinga mwenyeweMkuu kipind hicho nina miaka 16.
Tangu hapo hawajanipata tena huwa nawaumbua sana
Cha ajabu ukiwa nje ya mchezo unaona poa tu ipa ukiingia tu imekulaUmenikumbusha hao wenye kadi mkuu. Niliwahi kucheza mchezo huo dodoma. Nililiwa hela nikawa sina hata nauli. sikukubali nilienda kitoa cha polis pale general, nikawalilia polisi. Aisee jamaa wslienda kukamatwa at least nikarudisha 80% ya hela zangu. Na polisi nikawapoza kidogo.
Tangu siku hiyo nikiona ile michezo huwa nabadilisha njia kuepuka kushawishika.
Ndo vile tena ma boss wengine mabandidu hawana huruma....at leat wangegawana hasaraHapo mkuu alietapiliwa ni boss wako, kama aliwahi kukutumia ujumbe wa hivyo kabla basi ww kosa halikuwa lako alietakiwa kupata hasara ni yeye kwasababu wewe umefuata maelekezo sahihi kutoka simu yake. Pengine hukutaka tu kumbishia sababu ni bosi. Lakino pole.