Jinsi nilivyopingwa chini Valentine Day

kabla hujaamua vya kuamua,mwambie utampa jibu,baada ya valentine,maana bado unakumbuka machungu yaliyopita.wasichana wengine hawana msimamo.maybe alikoenda mwaka tu,kumeshamchosha,au msumbue kidogo kumpima akili yake,maybe anataka marudiano kipindi cha valentine tu,or maybe ameshajifunza kosa lililomfanya akubwage mwaka jana

nimekupata broo ninaamin wanawake hawana maana ila
 
Badilisha avatar kwanza ili tuwe na uhuru wa kuchangia maana avatar ina nguvu sana usipime, inayumbisha hata uwezo wa kuamua ushauri vipi!
 
Back
Top Bottom