dah! Jaman ndo mnanifungua macho mana co siri nilikuwa ninaendelea kama kumrudisha hv kumbe co m2 mzuri nisaidien jaman
Hakuna kati yetu anayeweza jua if ni mtu mbaya au mzuri,wewe ndo wamjua vizuri,hatujui mlikotoka,malengo yenu yalikuwa nini,anarudi kwa gia gani,wala mnaelekea wapi....sisi tunakushauri,uamuzi wa mwisho ni wako Murefu.....
jaman wanaJF MM NI MWANAUME ILA KWNY PROFILE YANGU NIMEWEKA PICHA YA ANGELINA JOEL ILA MM NI MWANAUME NINAITWA MUREFU PLZ PIPO PLZ mana ninaona mnazan mm ndo sket nini hapana naona kunawa2 wana miss used pamoja pipo
ataanzisha sredi nyengine halaf ma relationship rescue tutamwaga razi. hivi haujui kwamba kila matatizo ya mahusiano yakizidi ndio jukwaa letu hili tukufu linachangamka?Just follow your heart, ila ukimwagwa tena usilalamike
Kuna siku niliuliza the same question.... hii inafanya watu tushindwe kujua nadhani kuna umuhimu wa JF kuongeza sehemu ya, male au female sababu this is confusing mtu unaweza ukafanya kufuru bila kujua...Na wewe bwana kwa nini uweke picha ya mwanamke wakati wewe ni mwanamme lol
Huyo Valentine lady hakupendi ,kuna kitu ankipata kwako akichoka anaondoka
Moyo wako ndo mwamuzi
Na wewe bwana kwa nini uweke picha ya mwanamke wakati wewe ni mwanamme lol
Huyo Valentine lady hakupendi ,kuna kitu ankipata kwako akichoka anaondoka
Moyo wako ndo mwamuzi
sio picha ya kike tu halaf na msidiria mweusi anatuonesha . dah. its not fair bana. wengine laptop zetu za 3DKwasababu umetuchanganya sasa fanya hivi pale ushauri ulipotolewa wa kiume weka wa kike na wakike weka wa kiume.
Kwanini uweke picha ya mwanamke na wewe ni mwanaume HUJIAMINI????
Hii ishu tete, kama alikuacha kirahisi namna hiyo, ukimrudisha kirahisi tena... atakutosa tena. Kwanza analyseWanaJF mambo vp ni muda sasa yapata toka niachwe kwenye mataa mwaka jana cku moja kabla ya valentine day baada ya ex-mpenz wangu kunipga chn bila tatzo?. Nakumbuka ilikuwa sa nne cku moja kabla ya tarehe 14 febru ninakumbuka nilikuwa ninachat nae na sms ya mwsho kwake ilikuwa ni swal kwangu aliandika hv. MPENZ MFANO KESHO IKAWA MWSHO KAT YANGU MM NA WEWE JE UTAFANYEJE?. Kwa kwel nilikuwa nimechukulia masihara hvyo nilimjibu itakuwa poa tuu. Na cku ya valentine ilipo wadia nilijikongoja mpk sehemu 2lipo agana 2onane na hapo ndipo nilipopgwa chn mana cku amin m2 uliempenda anakugeuka kama hakujui. Na hv sasa anataka 2rudiane nae na ninaona jitihada zake nyng cjui anataka2rudiane cku ya valentine day je nifanyeje nisaidien mana nipo njia panda wanaJF