its MalekoGJ
Senior Member
- Aug 27, 2020
- 135
- 285
Jinsi Nilivyogeuza Kompyuta Yangu Kuwa Ngome ya Faragha (Privacy Fortress)
Kama wewe ni kama mimi, unaitumia kompyuta kila siku. Lakini kila mara nilikua nahisi kama kuna "jicho la siri" linaangalia nyuma yangu hata kama hakuna mtu Kwanguu au Ofisini
Ukweli ni kwamba ? Hiyo si paranoia. Ni jinsi mifumo ya kisasa ya kompyuta na huduma za mtandao zilivyoundwa kukusanya taarifa zako kila sekunde.
Sikuamua tu kulalamika… Niliamua kupambana. Na hapa ndicho nilichogundua kuwa
Zipo tools rahisi zinazoweza kufanya kompyuta yako kuwa ya faragha kama maombi ya binafsi. Twende kazi.
1. O&O ShutUp10++ — Kata mawasiliano ya OS na “HQ”
Hii ni tool ya bure inayokusaidia kuzima telemetry, yani ukusanyaji wa data na Windows, bila kuingia kwenye settings za kichwa-kuuma. Ina interface rahisi, haileti mzigo kwenye kompyuta, na inakuambia nini unaweza kuzima salama.
DOWNLOAD sasa Kwanij Ni Bure
2. Mullvad Browser — Kivinjari cha Hali ya Juu ya Siri
Forget Chrome. Firefox? Nusu kaputi. Mullvad Browser haina ujanja wala upendeleo, inakukinga na fingerprinting, tracking scripts, WebRTC leaks, na zaidi.
Pia Inakuja tayari ime-harden — hakuna haja ya kuinstall add-ons.
Download Mullvad Browser Bure kabisa
3. Mullvad VPN — VPN Halisi isiyo na Mitego
Hii sio VPN ya mtaani. Hakuna email, hakuna username, hakuna logs. Unapata account number ya random tu na uko hewani. Unaweza hata kulipa kwa crypto au pesa taslimu.
Serikali kadhaa ziliwahi kuomba data za wateja Mullvad wakasema “Hatuwezi” kwa sababu hawana taarifa yoyote ya wateja!
Nadhani kwa sasa Mullvad VPN ni The Best
4. Brave Search — Tafuta Bila Kufuatiliwa
Badala ya kutumia Google au Bing ambao wanakufuatilia hadi chumbani, tumia Brave Search. Haitunzi IP yako, haitengenezi profile yako, na ni open-source. Kila unachotafuta ni siri yako tu.
Mkuu Tumia Brave Search
5. Wewe Ndiwe “Tishio Kuu” kwa Faragha Yako
Tools peke yake hazitoshi. Tabia zako za kila siku zinahesabu sana:
• Usitumie admin account kama ya kawaida.
• Usitumie password moja kwa kila account.
• Usilogin kupitia Google/Facebook kwa kila huduma.
• Chuja apps unazoweka. Si kila “free app” ni bure kweli.
Faragha ya kweli ni mchakato, si switch. Ukiweza kuvumilia usumbufu mdogo, utapata amani kubwa ya akili.
TUNAUZA Laptop Zenye System Safi na Privacy First
Unahitaji laptop mpya isiyokuwa na bloatware au spyware ya kiwandani? Tunauza laptop zilizofanyiwa setup maalum kwa ajili ya watumiaji wa tech, freelancing, security, na data privacy.
Hala Tunaa HP EliteBook, Dell Latitude, MacBook — zote zikiwa:
• Fresh OS bila crapware
• Zime-hardeniwa kwa performance na faragha
• Zina specs kali kuanzia RAM 8GB hadi 32GB, SSD za kasi, Battery kali
WhatsApp sasa 0679 513 730
Tunatoa pia setup ya Mullvad, ShutUp10++, Brave Browser na antivirus safi
Jisafishe Digitali. Anza Safari ya Faragha Leo.
Hakuna kupelelezwa. Hakuna stress. Hakuna trace.