Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Wanasema eti inazinduliwa april,,asante kwa kunielewesha shukrani
Okey! Juzi kati nilivyokua nakwambia niko Johannesburg, nilikutana na trader mmoja. Yeye alinunua 'Pipcoin' - hii ni crypto currency ya kwanza Africa inayomilikiwa na Dogo anaitwa Ref Wayne.

Hizo pipcoin zilikuwa zinauzwa kwa rand 300, yani less than $30. Watu wakazinunua kwa pupa sana, leo hii kila aliyenunua hana wa kumuuzia, haina demand, price yake imeDepreciate hadi kufika $0.5

Sasa just watch out kabla hujawekeza kwa hao uwe umejiridhisha beyond unquestionable doubts.
 
Okey! Juzi kati nilivyokua nakwambia niko Johannesburg, nilikutana na trader mmoja. Yeye alinunua 'Pipcoin' - hii ni crypto currency ya kwanza Africa inayomilikiwa na Dogo anaitwa Ref Wayne.

Hizo pipcoin zilikuwa zinauzwa kwa rand 300, yani less than $30. Watu wakazinunua kwa pupa sana, leo hii kila aliyenunua hana wa kumuuzia, haina demand, price yake imeDepreciate hadi kufika $0.5

Sasa just watch out kabla hujawekeza kwa hao uwe umejiridhisha beyond unquestionable doubts.
Sawaaa kaka ntakupa info zotee soon ,chawaa ulale sasa
 
Nilidhani masihara ila nimekutafuta mtandaoni nimekupata.we sio wa mchezo mchezo

Hongera mkuu
 
Mkuu asante sana kwa kutushirikisha.Nimejifunza mambo mengi sana kwenye hii post yako.Asante sana.
 
Yaani niemeisoma post hii zaidi ya mara 4 na nimeihifadhi mahali ili niisome tena na tena na kuifanyia kazi,hata kama sio kwa njia yako.Ila kuna vitu vya msingi vingi sana umeongea mkuu.
 
Mkuu tunashukuru sana hi simulizi ni nzr to inspire younger graduate wanao Sita kubuni shunguri za kujajiri. lkn kwa watu ambao tuko kwenye mapabano and we have experience ya shuguri hizo. a lot ov fiction story with contradiction of real-life. lakini the fact is youngermen of 20s and early30s can be inspired to go outside there to work. tatizo nikutegemea quick returns watavunjika mwoyo nakukata tama" don't be over ambitious" big up mkuu...
 
Hao ni matapeli usijaribu kabisa mimi wanikula pesa yangu na wakafunga account yangu na hao wanao hamasisha itakua ni group moja ni dhulma ni utapeli na nikamari tu hapo dinazarde
Sawa mi sijaweka pesa
 
Ukisikia mtima nyongo ndio huo.Nina uhakika utakuwa masikini wewe,uzi mzuri kama huu umeacha kuchukua yale yenye faida ukajifunza kwayo umekalia kumjadili aliyeleta mada na maisha yake binafsi.acha roho mbaya mshamba wewe,wenye akili na busara wala hawana haja ya kumjua huyo ontario ni nani personaly wanadurusu uzi tu.This is a damn online forum for christ sake.
Sasa naamini na kukubalina na ule msemo wa wakoloni wetu kuwa "SIMPLE MINDS DISCUSS PEOPLE WHILE GREAT MINDS DISCUSS IDEAS" Asanteni sana wakoloni kwa kulijua hili!
 
Umeelezea upandr mmoja was mafanikio wapi changamoto za kazi, Mara hiki kimenoki, treka imezingua kitu Fulani biashara hua haiendi smooth kama ulivyoweka hapa
 
Usijaribu wala usimhamasishe mtu yani lawama itakua kwako ndugu ni story ndefu kwakweli
Hahahaa! Bora lawama lkn naamini kuna mtu mmoja, yani mmoja tu ambae atausoma huu uzi na utambadili maisha. Najua JF kuna ujuaji mwingi na wapenda sifa pia, so nilitarajia kejeli.

Yah uzi ni mrefu, vipi kuhusu aliyeuandika. Hahahaa we do this for love.
 
Uko vizuri
Nina 1 million hapa biashara gani itanitoa kipindi hiki cha magu
chief1 wewe ni mmoja ya watu smart sana mliopitia huu uzi. Nilitegemea swali kama hili tangu page ya kwanza, but sikumbuki kama kuna mtu aliuliza, ni kama watu waliosoma huu uzi wote wako financially stable.

Mil 1 ni pesa ndogo lakini trust me inaweza kukubadili maisha kama ukiwa una uthubutu na pia uwe smart.

Toa 50,000 kwaajili ya research, kama upo Dar zunguka kwenye hizi Bar, viunga vya chakula, mabucha nk ongea nao biashara. Waambie una mbuzi wakubwa, wazuri, wa kienyeji. Wengi hununua kati ya 70-90 saa zingine hadi zaidi. Wape offer kuwa wewe utawapa mbuzi kwa 60,000. Mfanyabiashara makini hawezi kukataa hii offer, elfu 10 ni kubwa sana kwenye biashara ndogo ndogo.

Ukijiridhisha kuhusu soko, tafuta usafiri. Mtafuta boss mwenye "Toyota carry", wengi huchukua 20,000 kwa siku kutoka kwa madereva wao. Wewe mpe offer ya 30,000 kwa siku ili akubali bila kinyongo.

Weka mafuta ya 40,000 kanyaga wese hadi sehemu 1 inaitwa "kwa makocho" ipo wilaya ya Chalinze, anavuka wami mbele kidogo. Kule nimeshuhudia mbuzi wakiuzwa kati ya 35-40 elfu. Nunua mbuzi 20 kwa 400,000 jumla laki 800,000. Mzunguko wote mpaka hapa utakua umetumia 920,000 - una kiakiba cha 80,000.

Rudi Dar faster uza mbuzi wako kwa 60,000 kwa wale wateja wako. Utakua umegonga 1,200,000. Una faida ya 200,000. Fanya hivi mara 4 kwa wiki. Kila wiki utafuwa na 800,000 faida. Fikiria kupanuka na kupanuka - go an extra mile, kuwa consistent, kubali kuumia.

Biashara sio smooth kama nilivyoandika, lakini wewe ndie mwenye password ya kuifanya smooth. Mwanzo mgumu - lakini haimaanishi kuwa haiwezekani. Changamoto ziko nyingi - fanya maamuzi ya haraka. Kumbuka "growth is everything" anza na mbuzi 20 lkn fikiria kusupply mbuzi 100 au hata 500.

Leta mrejesho uwape nguvu masela.

Kila la hkeri.
 
Sawa mi sijaweka pesa

Hao ni matapeli usijaribu kabisa mimi wanikula pesa yangu na wakafunga account yangu na hao wanao hamasisha itakua ni group moja ni dhulma ni utapeli na nikamari tu hapo dinazarde
Mkuu naomba unielete/utueleze japo kdg hao jamaa walikulaje pesa yako?! Hiyo account ilifungwaje?! Hiyo coin inaitwaje? Je hiyo coin uliinunua kupitia 'Coinbase' au ulinunua kupitia platform yao binafsi?!
 
Back
Top Bottom