We lazima utakua na upunguf wa nguv za kiume,..bro consult ua doctor,..we kina clinton,hao kina tigger woods,jordan,mayweather woote ni walev wa papuch,we ni nan?
Kwan unafkir tunaringishia bas jose,..hiki ni chombo cha usafir tuu,..sasa unataka nitembee na mguu rafk yangu,hahahahKumbe aisee, wengine hatuna magari ya kuringishia watoto wakali
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Kuna wengine wakiwa na gari basi ndio mbwembwe nyiiingi ili tujue tu ana gariKwan unafkir tunaringishia bas jose,..hiki ni chombo cha usafir tuu,..sasa unataka nitembee na mguu rafk yangu,hahahah
Wenye supplementary wamerudi kujiandaa na kinyang'anyiro
Aah sjawai waza hivyo kabsa,kwanza leo ndo umenifumbua macho,itabid niwe na edit sana maandiko yangu,maana watu wasije nifkiria vbaya nkakosa marafiki.Kuna wengine wakiwa na gari basi ndio mbwembwe nyiiingi ili tujue tu ana gari
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
sawa kiongoziAah sjawai waza hivyo kabsa,kwanza leo ndo umenifumbua macho,itabid niwe na edit sana maandiko yangu,maana watu wasije nifkiria vbaya nkakosa marafiki.
Ama kweli hujatulia, vipi na humu jf si wote wanakuchanganyaLovely.[emoji4]
Kumbe unaongozwa na macho, basi sawa ila punguza pombeAf huwez amin,.nkikwambia sjawai m pm mtu humu utaamini?..au laa ambae nime m pm a screenshot af atume hapa like ryt now.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] pombe haijawahi achwa kwa hiyariAhh mi siamin ku hit msichana ambae ni virtual,kama ni mwanaume mwenzangu je,maana hum ID fake ndo kwake,..af pombe niliacha hivo ujue,ila naona nmeanza tena,hahahah[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila la heri mkuuHahahah,ila nmejitahid sana,though mkakat ni kuacha kabsa,
Supplementary time