Jinsi nilivyo peperusha ndege wa3 leo samak samak.

sawa mkuu nimekuelewa.... ila nitakuja na bajaj langu.....
Hahahahahahahahahaha,hapo utata sasa,mtaondokaje sasa,maana wale watoto wanataka kiyoyoz,ila usihof try ua best.hahaha
 
mtu akishiba akawa hana stress,kitachozunguka sana kwenye fikra ni viungo vya uzazi..hili.lipo sana kwa masikini na wapokea mishahara

Mara zote huwa naandika hivi " Ngono , ni starehe ya masikini , ila ukiona mtu ana income ya 5+m at least kwa kila mwezi bado anahangaika na pichu za wanawake basi ujue kalumanzira anahusika hapo".
 
Maisha haya bwana

Unejitahid kutunga hadithiii
We si domo zege ,hahaha,ndomana haikuingii akilin[emoji23][emoji23][emoji23], wenzio tunafanya haya ambayo wew kwako ni dream.
 
Mara zote huwa naandika hivi " Ngono , ni starehe ya masikini , ila ukiona mtu ana income ya 5+m at least kwa kila mwezi bado anahangaika na pichu za wanawake basi ujue kalumanzira anahusika hapo".
We lazima utakua na upunguf wa nguv za kiume,..bro consult ua doctor,..we kina clinton,hao kina tigger woods,jordan,mayweather woote ni walev wa papuch,we ni nan?
 
Yooote hayo ni kutaka kutuonesha kuwa una gari, haya sawa
Hahah,jose,nimecheka sana,..kumbe gar ni bonge la ishu[emoji23][emoji23][emoji23],?af wala hata skuwaza yan,..bro mi nmezaliwa nmekuta magar home,hahah,
 
Hahah,jose,nimecheka sana,..kumbe gar ni bonge la ishu[emoji23][emoji23][emoji23],?af wala hata skuwaza yan,..bro mi nmezaliwa nmekuta magar home,hahah,
Kumbe aisee, wengine hatuna magari ya kuringishia watoto wakali

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…