Jinsi michepuko inavyompa raha mke wangu

kuna wanawake smart angekubamba tu au ndo ungempa vizawadi vyako hivyo vya chupi lol
Kuna mbinu ya kudili na mwanamke smart.

Cha kwanza jifanye fala kwake.....ili ajione yupo juu yako kumbe unamchora tu..... cha pili muache akuoneshe maujanja yake yote...hapa ili uweze kumjua vizuri utundu wake....cha Tatu tafuta uzaifu wake upo wapi..ili uweze jua jinsi ya kumshika ..hapa ukimpatia vizuri basi usha maliza yaani kama mbwa au paka hata awe mkali vipi wewe mshike shingoni kwa juu mnyanyue basi kazi imeisha atabaki tu anarembua rembua [emoji23][emoji23] nikisha fanya hivyo vitu vituta tu utakua hauna maajabu tena .


Sema wanaume wengi wanafeli kwa sababu wanawakurupukia sana
 
aisee kumbe unajua kumuelewa mwanamke .
 
Kudadeeeki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona sijao a hiyo michepuko inampaje raha
 
Tofauti na ujanja kuna magonjwa na mikosi unapeleka nyumbani, uzinzi utakufilisi.
 
Hongera zako mkuu
 
Wewe huwajui vizuri wanawake.Anajua Sana Ila hajataka tu maana Kuna ule msemo Ngombe wangu mwenyewe why nihangaike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…