Jinsi michepuko inavyompa raha mke wangu

Sio kwa kujisifia huko . Ipo siku huyo dada atajua tu ukweli .
 
Ndugu yangu umepigwa au unakaribia kupigwa utalia na kusaga meno ni suala la muda tuu..
 
Ndoa yako ni chini ya miaka 5, hao huwa wanaliwa na ma katibu wa kanisa au waimba solo.

Kuna siku utakuja kulia hapa, jinsi unavyoamini mke wako hajui mambo yako, ndivyo ambavyo wewe hujui yako.

Mungu na akusaidie sana
 
Mh
 
Attachments

  • 1654079890265.jpg
    32.9 KB · Views: 13
Picha haina uhusiano na uzi
 
Attachments

  • JamiiForums1963408388.jpg
    28.5 KB · Views: 15
Ujinga mkubwa kupita wote duniani ni kusemea moyo wa mtu

Usithubutu kuusemea moyo wa mtu hata iweje,moyo wa mtu ni kichaka!
 
Mi5 tena kwako
Wewe lile somo la muishi nao kwa akili ulilielewa
 
Unafikiria Mkeo ni beki Tatu! Ila siku utakapongundua ni mshambuliaji atakuwa alisha kupiga mabao ya kutosha
Sisubilii siku ya kujua ifike yaani siku anayo taka kuanza kufanya ndio siku ambayo nitajua
 
Sio kwa kujisifia huko . Ipo siku huyo dada atajua tu ukweli .
Hadi ajue atakua amefanya kazi kubwa sana na mno na nitampatia zawadi maana atakua kafanya kazi kubwa sana.
 
Ndoa yako ni chini ya miaka 5, hao huwa wanaliwa na ma katibu wa kanisa au waimba solo.

Kuna siku utakuja kulia hapa, jinsi unavyoamini mke wako hajui mambo yako, ndivyo ambavyo wewe hujui yako.

Mungu na akusaidie sana
Kama analiwa sawa ila ninacho shukuru nae analiwa kwa akili sana kiasi kwamba mimi mwenyewe sijui na namuamin [emoji23][emoji23]
 
Hadi ajue atakua amefanya kazi kubwa sana na mno na nitampatia zawadi maana atakua kafanya kazi kubwa sana.
hahaha usinichekeshe mie . Kwamba wewe ni mjanja sana hawezi kujua jambn
 
Ndio hapo sasa mimi kama mwanaume sikuoneshi dalili zozote za uchepukaji
Kwani yeye ndo atakuonesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787], ila wanaume mnasikitisha sana mngejua wanayoyafanya wake zenu behind the scene mngeishaaa, anyway ujue tu na yeye anae anaemfanya awe na amani humo ndani ndo maana ananawili.
 
Yaani makuzi yangu nimekua na wanawake wakila aina so mbinu zenu zote zipo kiganjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…