Jinsi michepuko inavyompa raha mke wangu

😀😀

Isije ikawa anajua ila ikawa ule msemo wa ndege wafananao na baadae ukaja ule wa mkuki kwa nguruwe.
Hajui lolote ni michezo inachwezwa kwa akili nyingi sana
 
Hii sijui ni chai ya moto au ya baridi. Ila sijawahi kuona siwezi kubisha.

Yaani mimi nichepuke eti niwe na furaha huo ni ufuska tu. The day I set my feet out kwenda kwa mchepuko ni kwamba mume amenichosha[emoji1373]
Ndio hapo sasa mimi kama mwanaume sikuoneshi dalili zozote za uchepukaji
 
Ukijua kutenganisha hivi vitu ndipo mafanikio yalipo wengi wenu mnapenda kuchanganya mapenzi na kazi
 
Once it comes kwenye maisha kila mtu ni dereva wa maisha yake bana na kila mtu analife style lake. Siwezi kukaa ba kuwaumizia vichwa vijana walio jaa ubishi, ujuaji, hawataki kuambiwa ukweli, wenye ujanja wa kijinga...wewe unawaza umsaidie mwenzio anawaza atakupigaje usijue [emoji23][emoji23]

Kilicho baki ni kuleta story za mbususu tu
 
Miaka buku
 
Haya bana lete story za mbususu , na Ni ukweli unampa kijana kazi ajikwamue Ila anawaza yeye akupigeje. Kuna watatu niliwapa kazi.,wawili boda boda na mmoja nikampa pro Box Tena mktaba. Mwishowe walishindwa nikajua why banks hazikopeshi vyombo vya Moto ama hawatoi mktaba. Yaani inatakiwa tuige business model za banks tunayo mengi mno ya kujifunza tokea kwao. Pens za kuandikia hawaamini raia inabidi wazifunge Ila sie tunawapa hela zetu watutunzie na bado wanazikata Ila wao wakitupa za kwao na dhamana tumeweka usalama wa hela zao Ila bado Tena wanataka tuwalipe wao. So jamaa wao wanatakaje. Yaani pesa yangu nikikupatia nakulipa eti unanilindia Ila na wewe ukinipa za kwako bado nitakupa na faida.
Haya mkuu sio mbishi kwa hili.
 
Hii sijui ni chai ya moto au ya baridi. Ila sijawahi kuona siwezi kubisha.

Yaani mimi nichepuke eti niwe na furaha huo ni ufuska tu. The day I set my feet out kwenda kwa mchepuko ni kwamba mume amenichosha[emoji1373]
Mwanamke kuchepuka Ni dhambi isiyosameheka kamwe, hongera kujitunza[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mzee mm hela zangu nikishindwa kuziendesha mimi...ni bora ziendelee kukaa bank huko nikizihitaji nitazifata kuliko kujiroga ujifanye eti unaanzisha vitega uchumi ambavyo asilimia 80 ya muda wako hauta utumia hapo kwenye vitega uchumi eti kuna watu umewaachia....ndugu yangu ukija kubalance hesabu mwisho wa term utajua hujui hizo hela bora ungelipia bill ya supu mwaka mzima
 
Bili ya supu ya mwaka mzima kazi iwe Ni kufurahisha moyo wako ili uendelee kuona faida ya pesa
 
Bili ya supu ya mwaka mzima kazi iwe Ni kufurahisha moyo wako ili uendelee kuona faida ya pesa
Bro siku nyingine usipende kushare maujanja na vichwa panzi Kama Hawa, huwa wanatafuta vijisababu vya kuficha ujinga wao. Sisi watoto wa kimaskini inapaswa tupambane kuwazidi kina dewji,rostam.
 
Bro siku nyingine usipende kushare maujanja na vichwa panzi Kama Hawa, huwa wanatafuta vijisababu vya kuficha ujinga wao. Sisi watoto wa kimaskini inapaswa tupambane kuwazidi kina dewji,rostam.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujanja kumbe ni kupambana uwazidi watu na sio kupambana kwa ajiri ya maisha yako.

Kama hauna uwezo wa kufanya vitu vidogo vikubwa utawezaje....na akili kubwa ni akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…