Jinsi Marekani inavyotengeneza magaidi duniani

Hakuna mtu anapenda kujitoa uhai wake bure, ukiona jambo limetokea basi mtu haoni tena thamani ya kuishi
Mtu anaonaje thamani ya kuishi duniani wakati anakua kaishalishwa tango pori kuwa akhera anakutana na bikra 70 endapo ataua watu kwa kujilipua!
 
Na mtu anapataje hamu ya kuishi Kama wazazi wake wameuawa na dada yake amenajisiwa mbele yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom