Jinsi mapenzi yanavyonichanganya

wengi tu mwenyewe ni shuhuda wa hilo kwa rafiki yangu, yy anasema anaishi tu na mkewe kwa kuwa wamefunga ndoa lkn mkewe hampendi, hata katika kupanga mambo ya maendeleo mkewe huwa hatoi ushirikiano

hilo mimi siwezi ni vizuri kuwa na mtu ambae unakua comfortable naye hata kama ni rafiki..
 
Kujulikana na familia ndo kukufanye ukubali kuishi bila furaha for the rest of your life?!!! We goma kufuata hizo faken sheria zake, akimaindi na akuache. Unajua ukizaliwa kwwnye family isiyo na amani sio kosa lako, but ikiamua kuanzisha family isiyo na amani ni kosa nadhambi kwako...
 

Kwikwikwi......
 
miaka miwil nw ndiy unaona hayupo romantic..muache uzeekee nyumbani

Azeekee nyumbani au ndoani kabla ya umri wa uzee kipi bora?
Akiolewa na mtu kama huyo mpe five years utamkuta ana wrinkles mpaka papuchini!
Kama ni binti anayejiheshimu ataolewa tuu, remember kuna second chance always!
 

Atalia siku mbili tatu.............. then atatulia! As for you, utapata taabu na mahangaiko kwa kipindi cha maisha yenu kilichosalia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…