Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.
Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?
Usiue, Usiibe, Usizini, Usishuhudie mwenzako uwongo, waheshimu wazazi wako etc. Amri kama izo sio!
Wakati unakula vitu vyake amri ulikuwa hauzioni..
Jichetue sasa upigwe risasi..
Usiue, Usiibe, Usizini, Usishuhudie mwenzako uwongo, waheshimu wazazi wako etc. Amri kama izo sio!
Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.
Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?
Relationship ni mawasiliano na uwazi..isije kuwa unalalamika hapa halafu haujawahi kumweleza huyu mchumba wetu!

Hilo ni moja ya mambo ya kuchunguzana katika kipindi cha uchumba. Umegundua tabia hiyo ni kero kwako, huna raha wala amani fikiria ukiwa mke itakuwaje. Achia ngazi mapemaaaaa wala usisite elewa ukiingia ndani yatajitokeza mengine yaliyojificha Usiogope jitie ujasiri kama mbwai na uwe mbwai kwa nini ukubali kuishi kwa shida maisha yako yote hadi unaingia kaburini??? Jitoe taratibu wewe si wa kwanza kutafuta ndoa yenye amani.
Relationship ni mawasiliano na uwazi..isije kuwa unalalamika hapa halafu haujawahi kumweleza huyu mchumba wetu!
ndio we, jitu liko serious kama mwanajeshi anapiga gwaride bana, mapenzi gani hayo! wakati wote kama yuko kazini, ofisini na nyumbani hakuna tofauti, hata wanajeshi wenyewe usiriaz kazini wakifika nyumbani wako poa sana. hee..! au mkurya nini!