Jinsi Mahusiano yalivyobadilisha maisha yangu

Sehemu ya pili

Mrembo wangu kaniambia mwamba mwamba wana mlazimisha aelewe lakini yeye hataki Na maneno yalianza kuzagaa pale kijijini mwamba analiazimishwa kuolewa Na watu wanajua mwamba Yule ni demu wangu ilifikia Adi kuna kipindi tukienda kanisani wanamwambia abaki mchungaji ana mlazimisha apokee kishika uchumba cha jamaa maana familia yao ilikuwa imechachamaa sana lakini binti alikuwa anakataa ikafikia kipindi kwao wanamwambia achague kaondoka au kukubali kuolewa Na mshikaji Huyo aliyekuwa anaitwa Suma Na jamaa alikuwa najua mwamba Na mahusiano Na Yule binti lakini kwa sababu ya wazazi waliingilia Kati suala la jamaa kuoa Na kutafutiwa mchumba lakini binti alikuwa anagoma sababu yangu

Siku moja binti kaniambia nelkonphy naomba tukutane akaniambia wanamfukuza huku akilia sana mm nilikosa cha kufanya maana nilikuwa sina sehemu yoyote ya kumpeleka mwamba ntaishia nae hapo Na suburi miezi kadhaa niende shuleni mrembo wangu kakasa tumaini akamua kukubaliana Na kuolewa

Ilikuwa jioni moja nikiwa nimerudi mbeya mjini nilipokea SMS kutoka kwa Dada ake mrembo wangu akiniasi niache kumpigia simu Na kumtumia SMS mdogo wake nikampigia nikamwambia siwezi acha kumpigia Na kumtext kwa sababu Na mpenda kama wanataka wanamke asinipendi maana binti alikuwa nanipenda sana Na mm nilikuwa nampenda sana nilikuwa najua kwamba ndo mwanamke wangu naye mpenda pia ndo nitafunga nae ndoa..Walichukua mamuzi yakumpigia bro wangu wakimuasa niache masiliano lakini bro akaniambia najua unapenda ACHANA nae ashaolewa

Zilipita wiki kadhaa mawasiliano yakanzaa kupungia kumbe binti kakubali Na kaenda kupima ukimwi kwa ajili ya ndoa Na wazee wakanisa nirudi Tukuyu nikapata taarifa hizo wahuni wakaniambia wewe cha kufanya mtie mimba tu kweli Na mm nilimvia siku za hatari nililala Na huyo mwanamke japo ni mchumba wa mtu zilipita wiki kadhaa ndo ikafungwa Na mm nikiwepo hapo kuna tukio kubwa lilitokea ambalo sitoweza kusahau kwenye maisha yangu yote

Siku ya harusi niliwasiliana Na rafiki angu John twende kwenye sherehee nikiwa nimenunua zawadi zangu sasa walipo maliza kotoa zawadi MC akasema kama kuna watu wamesaulika naomba DJ wape wimbo nikapita mimba Na mshikaji wangu tukipeleka zawadi kutoka Na situation zilivyokuwa pale kijijini kila mtu alikuwa anajua kuhusu mm Na huyo binti mwanamke alianza kulia Baada ya kuniona msimamizi wake akawa anamuinua kwa sababu alikuwa analia sana hadi kupelekea watu wote pale kwenye harusi wakawa wanalia kama unavyojua wanyakusya wanavyolia ilikiwa sio furaha tena Bali iligeuka kuwa huzini watu wakitoa vilio Adi mm nimeshindwa nikaishia kulia hili tukio nililikiwa linajirudia tu kwenye akili yangu yapata miaka nane toka hili tukio litokee

Niliamua kaondoka Na kurudi mbeya mjini Na kumove on Na kujiandaa kwenda shule nakumbuka Baada ya wiki nilisafiri Adi songea Na kaenda shule kuanza maisha mapya lakini changamoto ndo ilikuwa inazidi kuwa kubwa
Ndo imeisha au
Sasa mbona Title na Yaliyomo Tofauti au mimi ndo sijaelewa
 
Kitu nilichogundua wee jamaa ulikuwa mbinafsi tu kama binti unampenda na hauna uwezo ata wa kumpa ifadhi ukuona kama unamtesa?Na bado ata future hauna, alafu hutaki aende kwa jamaa aliyeshajipanga kimaisha, NO BUDDY DESERVES POVERTY OVA LOVER.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Ma engineer wa PCM hawajui kuandika. Wanajua hesabu tu.
Tuombe radhi, huyo amesema alihama PCM akasoma PCB na baadae chuoni amechukuwa masomo ya udakatari..
Engineering hahusiki hapo mkuu, PCM tunafahamu kuandika vizuri sana
 
Daaah pole kwa vyote mkuu.
Pole kwa kua na uandishi mbovu lakini pia pole kwa maswaibu yalikupata.

Lakini hujatupa mrejesho kama mimba ilitiki au iliponyoka.
Ila mkuu una lafudhi ya kinyakyusa hadi kwenye uandishi duuuh we kweli wa tukuyu.
 
Leo nimeamua kuleta story yangu ya kweli

Naitwa Nelkonphy ni mzaliwa wa Mbeya greencity Na wazazi wangu ni wenyeji wa Tukuyu mbeya ila waliamia Mbeya mjini hivyo Na mm niliaama shule toka Tukuyu adi kuanza maisha mapya katika jiji la mbeya Na kubahatika kufauri elimu ya msingi Na kujiunga Na sekondari katika moja ya shule za kata katika jiji la mbeya Nilifanikiwa kusoma hadi kidato cha nne Na kufanikiwa kufauru kidato cha nne kama unavyojua kama kijana umri wa bahari ndo ilikiwa umeshafika hivyo nilikiwa nashaanza kuwinda watoto wa kike kipindi nipo likizo ya kidato cha nne kwenda cha tano niliamua kurudi Tukuyu kuishi kidogo ingiwa wazazi waliku wapo mbeya mjini

Nilipofika Tukuyu nilikuwatana Na binti mmoja mzuri kweli oale kijijini Na washikaji wakaniambia mwamba huyu demu ata utongozi VP hawezi akakukubali maana watu wenye hela zao walikuwa wanamtongozi lakini alikuwa anawakataa basi Na mm nikaanza nae mazoea kwa sababu tulikiwa tunakaa jirani ilikiwa tukitoka kanisani nikampa anishikie bibilia yangu akanishikia vzr akanisubiri tukawa tunarudi wote nyumbani ambapo nilikiwa naishi mm Na rafiki angu aitwae majestic amabaye tulitoka nae mbeya mjini japo nae ni mwenyeji wa Tukuyu kwenye kijiji kimoja nikapata nafasi ya kubadilishana na namba Na Yule binti mrembo kadri siku zilivyokuwa zinaenda ndo mazoe yalikuwa yanaongezeka hatimae mwamba nikafanikiwa kumtongoza mtoto mzuri akatiki tukawa Na mahusiano ambayo yalipelekea kijiji kizima kujua kambwa Na mahusiano naye

Nilikuwa mtu w kumjari sana binti kutokana Na kule kijijini tulikiwa Na mashamba Na amna mtu anaishi kule hivyo nilikuwa nachukua vitu vya shambani Na kuuza mfano mikungu ya ndizi nilikuwa sikosi elfu tano tabo za kumtunza mtoto mzuri weekend lazima twende studio kupiga picha Na mtoto mzuri namnunulia kadi kama unavyojua mapenzi ya vijijini

Hatimaye majibu yakujiunga Na kidato cha tano yatoka Na nilikuwa nimepangiwa kusoma combination ya PCM katika shule moja ya wavulana ya Kigonsera japo mm nilipenda sana kusoma PCB ili nije kuwa medical doctor maandalizi yalikuwa yanaendelea lakini penzi langu nilikuwa linaanza kuingia doa.Baada ya binti kuletea mchumba Na mama ake mkubwa kiufupi binti alikuwa anakaa kwa Mama ake mkubwa sababu baba ake Na mama ake walikuwa wamefaliki ko alikuwa yatima sasa mama ake mkubwa Na mchumba alimtafutia walikuwa family friend ko jamaa ambaye alikuwa nataka kumuoa walikuwa wana mlazimisha amue kwa sababu waliona umri wake unaenda sana alikuwa anamiaka 32 alikuwa lika ya kama angu mkubwa Na binti alikuwa ana umri wa miaka 18 sasa binti alikuwa ananiomba tukutane anieleze changamoto hiyo

Itaendelea
PCM halafu uwe na mwandiko wa hivi!?😁😁😁
 
Back
Top Bottom