Nilianzaga hiyo safari kama mwaka juzi hivi ila mambo yalinizidi nika acha.
Ukiwa unaona hapo unahisi ni vitu vichache tu unatakiwa kujua ila ukiingia ndani ni vingi mno.
1- Excell hii ndio rahisi kuliko zote.
2-SQL hapo ndo shuhuli ina anzi ujue MySQL, Microsoft DataBase, Bado cloud kama Oracle.
3-Python Uwe na Basics nzuri, ili usome Pandas and Numpy Libraries.
3-Uje sasa kwenye data visualization hapo kuna Tableau na PowerBI.
Ukimaliza hapo unakuta tena kuna vingine vingi vinaongezeka njiani as you go.
KAMA UNA MUDA WA KUTOSHA NA CONSISTENCY INAWEZEKANA KABISA.