Jinsi gani naweza kuilinda simu yangu ya android??

Jinsi gani naweza kuilinda simu yangu ya android??

cyber ghost

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
239
Reaction score
162
Naomba kujua wanajamvi ivi kuna application hoyote inaweza kiwekwa kwenye simu ya android ikasaidia simu inapopotea au kuibiwa niweze kuipata hata baada ya huyo mtu kufanya factory/hard reset??
 
Naomba kujua wanajamvi ivi kuna application hoyote inaweza kiwekwa kwenye simu ya android ikasaidia simu inapopotea au kuibiwa niweze kuipata hata baada ya huyo mtu kufanya factory/hard reset??

Nitakushauri ununue software inaitwa Cerberus Anti-theft, najua wengi hawapendi kusikia neno kununua ila its worth it, na uzuri playstore ukinunua mara moja hiyo app ni yako for life hata ukibadilisha simu.

Ukishainunua, root simu yako, install alafu utakua na uwezo wa kuificha kwa hiyo mtu hatojua kama imo kwenye simu, hatoweza kuiona, alafu unauwezo wa kuifanya iwe kama system application kwa hiyo hata hard reset yenyewe itasurvive. Utaweza kucontrol simu yako unavotaka, kujua location yake, kuilock, kufuta files zake remotely in case una vitu vya siri.

Na still haina uchafu mwingine iko very light so hata ikirun kwenye background haitumii battery yako as other apps za security
 
Hakuna ambayo unaweza kutumia bila rooting maana hiyo kitu ya rooting naiogopa kidogo
 
kwakweli jambo la msingi ni kufanya backups kila wakati, download backup apps na kuhifadhi kwenye email au cloud, Hizi software za ku trace simu zinahitaji always usage of data, mfano android lost phone...hii google email iwe on, na vikolombwezo vingine vya google viwe on, kitu ambacho kinakula chaji ya simu sana. Kwa android fanya backups sana usiweke vitu private sana kama picha na docs kwenye simu hifadhi kwenye emails utavipata vikipotea. Ni iphone tu ndio iko safe ikipotea utaipata au ku erase data zako remotely
 
Hata Iphone haina guaranteee ikipotea utaipata, watu wanacheza nazo pia jamaa yangu aliibiwa iphone akawa anaitrace kama siku mbili baadae ikapotea kabisa.
 
Back
Top Bottom