Jini Mahaba? Pepo la Ngono? Mfadhaiko?

kama kuota ni kuwa na majini hayo mi ninayo mengi sana maana naotaga hadi nasagana ila na watu wazuuuuuuuuuri hawana mapembe kama hao.
Hivi MziziMkavu nauliza hizo picha zililipigwaje mpaka kuwaona wanamapembe? MziziMkavu
bibie amu hizi ni picha za kuchora sio picha za kupiga ondosha wasiwasi bibie.
 
Last edited by a moderator:
Hii story nishawahi kuisikia

Lakini kwangu mimi naelewa concept ya utatu mtakatifu kuliko mapepo

Kwani father Nkwera ilikuwaje? Si alitengwa? Alikuwa na roho mtakatifu kweli au nini?

Only God knows, ila kumbuka hata Yesu walimwambia anatoa mapepo kwa nguvu za shetani. So kwangu mimi it is okay kuwa na doubt lakini sio busara kudismiss UWEZO wa MUNGU kabisa.
 
kama kuota ni kuwa na majini hayo mi ninayo mengi sana maana naotaga hadi nasagana ila na watu wazuuuuuuuuuri hawana mapembe kama hao.
Hivi MziziMkavu nauliza hizo picha zililipigwaje mpaka kuwaona wanamapembe? MziziMkavu

Duh... kumbe tupo wengi saaana, Hata mie ni muhanga wa hili, tena mie hata avatar za JF, wasanii watu mashuhuri (ME & KE. Je hili ni tatizo gani MKUU MziziMkavu?????
 
Last edited by a moderator:
Tulliharibu pale dini ilipoanza kuwa commercialised, ndo maana lazima kujiuliza mara 2, who is real who is not?

Mtu anakopa mkopo kuanzisha kanisa? Really?

Only God knows, ila kumbuka hata Yesu walimwambia anatoa mapepo kwa nguvu za shetani. So kwangu mimi it is okay kuwa na doubt lakini sio busara kudismiss UWEZO wa MUNGU kabisa.
 
 
Unajua nini Kongosho, fikiria Yohana mbatizaji angekuwepo leo, wengi wetu tungefikiri ni chizi. Au hata Yesu angekuwepo kwenye midst yetu leo; tusingekuwa tofaufi na mafarisayo (assinou) na wanasheria. Lkn leo hii sisi ambao tuliowaona wayahudi na kuwaona wadhambi kwa kumkataa masihi ndio tunaofanya exactly walichofanya wao.
Ever wondered kama 3000 years baadaye historia ikiandikwa utakuwa kwenye kundi gani?
It is Okay kudoubt kama hiyo doubt yako haikupotezi na kumpunguzia sifa na utukufu Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenifanya nifufue huu Uzi , na je linaweza kuchukua muda gani kutoka kama labda umeishi nalo muda mrefu bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…