hayo maneno matatu hapo juu huwa nayasikia yanatumika sana, kiukweli huwa naenda na mukmbo tu sababu siyaelewi vizuri.
Jini mahaba ni nini? Na humpata mtu wakati gani? Kwa nini huhusishwa na mtu kuota akingonoka?
Pepo la ngono ni nini? Na humpata mtu wakati gani? Kwa nini huhusishwa na mtu kuwa active sana kingono?
Mfadhaiko ni nini? Humpata mtu wakati gani? Je jinsia zote mbili hupatwa na mfadhaiko?
Hebu nisaidieni kudadavua, EMT usipite pande hii.
Mkuu BAK ngojea mpak uwe nalo hilo Jini Mahaba ndio utakapo amini na utakuwa unafanya nalo mapenzi kila siku usiku na hutatamani Mwanamke wa kibinadamu maishani mwako. Na hutaweza kuishi na mke katika maisha yako ule wako likupende umekwisha .Mkuu Kongosho bahati mbaya haya madudu mimi siamini kama yapo, huwa nayasoma tu hapa jamvini. Nitaufutilia huu uzi kwa karibu ili kuona kama naweza kubadili msimamo wangu.
Vipi bibie King'asti hujambo? Unaniita asubuhi yote? Kulikoni?Yaani MziziMkavu!!!!!
Mkuu Kongosho bahati mbaya haya madudu mimi siamini kama yapo, huwa nayasoma tu hapa jamvini. Nitaufutilia huu uzi kwa karibu ili kuona kama naweza kubadili msimamo wangu.
Unataka kuamini kwa logic na scientific facts au kwa Imani?
Pia huamini kama kuna mapepo/majini au majini mahaba/pepo la ngono?
Hujawahi sikia kuhusu pepo la udokozi?
Unataka kuamini kwa logic na scientific facts au kwa Imani?
Pia huamini kama kuna mapepo/majini au majini mahaba/pepo la ngono?
Hujawahi sikia kuhusu pepo la udokozi?
Tatizo langu, neno likishatanguliwa na neno 'pepo' tu
Ndio hapo nachanganyikiwa, liwe pepo la udokozi, uimbaji au ngono
Nataka nielewe kwa mtindo wowote
hivi majini huwa wanawatupia binadamu vitu/tabia mbaya?
Huwa nasikia tu mara anapepo la ngono, hasira, wizi, kuchukiwa, pepo la umasikini, nk.
Hakunaga mapepo yanayofanya kinyume na haya?