Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,824 Reaction score 23,626 Jul 4, 2013 #21 Mweeeeee.
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Jul 4, 2013 #22 dada alikua anamzimia hamisi akaona ajipandishe maruhani ya uongo,ashindweee na amtue kaka angu hamisi khaaaaa!!
dada alikua anamzimia hamisi akaona ajipandishe maruhani ya uongo,ashindweee na amtue kaka angu hamisi khaaaaa!!
S solution JF-Expert Member Joined Apr 6, 2009 Posts 492 Reaction score 100 Jul 5, 2013 #23 Passion Lady said: dada alikua anamzimia hamisi akaona ajipandishe maruhani ya uongo,ashindweee na amtue kaka angu hamisi khaaaaa!! Click to expand... Passion Lady ?? .. You rrrr smart Lady ... solution says .. Ahasante sana kwa kuliona hilo! Na tuko pamoja!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Passion Lady said: dada alikua anamzimia hamisi akaona ajipandishe maruhani ya uongo,ashindweee na amtue kaka angu hamisi khaaaaa!! Click to expand... Passion Lady ?? .. You rrrr smart Lady ... solution says .. Ahasante sana kwa kuliona hilo! Na tuko pamoja!!!
PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,992 Reaction score 1,294 Jul 5, 2013 #24 Ndo yale ya mtu kupandisha mashetani, watu wamepanic mashetani yanasema yanataka vocha ya tigo ya buku!!
Ndo yale ya mtu kupandisha mashetani, watu wamepanic mashetani yanasema yanataka vocha ya tigo ya buku!!
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Jul 5, 2013 #25 Hahahaaa hiyo style ya kutongoza ni kiboko, khamis kama anaimani ndogo hachomoi hapo
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Jul 5, 2013 #26 solution said: Passion Lady ?? .. You rrrr smart Lady ... solution says .. Ahasante sana kwa kuliona hilo! Na tuko pamoja!!! Click to expand... tuna njia nyingi za kuwakamata nyie tu ndio hamsanukagi,hapo atamwambia usipomuwowa kiti wangu nakunyonya damu hahaaa!!
solution said: Passion Lady ?? .. You rrrr smart Lady ... solution says .. Ahasante sana kwa kuliona hilo! Na tuko pamoja!!! Click to expand... tuna njia nyingi za kuwakamata nyie tu ndio hamsanukagi,hapo atamwambia usipomuwowa kiti wangu nakunyonya damu hahaaa!!
Vannele JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 287 Reaction score 90 Jul 10, 2013 Thread starter #27 Jamani eee... Hamuwezi kuamini, demu kafanikiwa, Jamaa kanasika... ila sio kwa ndoa... Naona cku hz wapo beneti... Anapiga mzigo kisela
Jamani eee... Hamuwezi kuamini, demu kafanikiwa, Jamaa kanasika... ila sio kwa ndoa... Naona cku hz wapo beneti... Anapiga mzigo kisela