Jinamizi la ajali bongo

Mungu wangu!! Lini tena hii?
Vipi waliokuwa kwenye gari dogo (hasa kiti cha nyuma)?
Nini mazingira ya ajali? Au hilo dude "Super sonic" lilikuwa linaovertake kwa supersonic speed sehemu isiyoruhusiwa?
 
bwana wee high speed itatumaliza.
supa sonic lilikuwa kwenye spidi ya scud, likamshinda dereva,
akaone bora akapunguzie mwendo kwenye hilo gari dogo.
picha ilipigwa mwaka jana mwishoni mkoani Morogoro.
 
duh limepondeka...
ila BB mbona picha ni kubwa sana....? ipunguze mkuu...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…