Jinamiz la tanesco na dowans

tulipo 04

Member
Feb 1, 2011
7
0
Nionavyo mm hv sasa Tanesco wanakata umeme makusud takrban 24hours ili wananchi walalamike sana wapate kisingizio cha kusaign mkataba na hao MATAPELI wa DOWANS.
Unawezaje kusaign mkataba na tapel isitoshe tapel mwenyewe amekupeleka mahakamam eti anakudai mahela kibao?
Tanesco wamepandisha gharama ilhal huduma wanazozitoa ni zaidi ya duni/hakuna maslai yoyote kwa mlipa kodi.
Nijukumu letu kusimama kwa ajili ya nafsi ze2 na taifa letu kwa ujumla.
 
Katika hali halisi tuliyonayo hapa nchini, kila kitu kinawezekana; lakini hujua ndivyo mambo yanavyoendelea kutuendea kombo, maana katika kimsingi TANESCO inamilikiwa asilimia kwa mia na serikali, na serikali ndiyo kielelezo cha taifa. katika hali hiyo ikiwa TANESCO inashukiwa kushiriki kwenye mambo ya kipuuzi kama hayo, jambo hilo linatoa taswira gani kwa nchi yetu?
 
Nionavyo mm hv sasa Tanesco wanakata umeme makusud takrban 24hours ili wananchi walalamike sana wapate kisingizio cha kusaign mkataba na hao MATAPELI wa DOWANS.
Unawezaje kusaign mkataba na tapel isitoshe tapel mwenyewe amekupeleka mahakamam eti anakudai mahela kibao?
Tanesco wamepandisha gharama ilhal huduma wanazozitoa ni zaidi ya duni/hakuna maslai yoyote kwa mlipa kodi.
Nijukumu letu kusimama kwa ajili ya nafsi ze2 na taifa letu kwa ujumla.

Dowans wametapeli nini?
 
Back
Top Bottom