Hivi jinajike zima uanajiachorachora halafu unaenda kujianika barabarani ili iweje?
Mi naona ka uchafu flani hivyo kwanza umri wako ushafika magharibi sasa vibiti vyetu vikikuiga tunasema vitoto havina maadili kumbe wamam nao mmeyapoteza
Wajinga ndio waliwao ukiona manyoa jua kaliwa, huyo mama anahitaji kufanyiwa cansering halaka lasivyo atatembea uchi kabisa au akapimwe akili, sura yenyewe ya jumapili hiyo,