Wampe jina la Irene sabab ni zuri na wenye nalo wanatabia njema hasa huwa wanabahati, ama charity kama watakubaliana kuchukua jina la kwenye tamthilia sabab lipo wazi na maana yake, hata hope ni zuri kiasi,
Duuu... ila waache utani hao wenye mtoto sabb wanatakiwa wakae chini wao kama wao tena bila kuwahusisha watu wengine na wafikie muafaka kwa upendo sabb utani utani wanaweza fikia kwenye mtafaruku wa kijinga tena mkubwa sana tu.