Wananchi wa ubungo wamepata shida miaka yote walikuwa wakimtegemea Mnyika, kawakimbia bila hata kutatua kero za wananchi. Leo hi unadhani wananchi wanataka kurudia upuuzi huo.
Hatutamchagua kamwe
Kubenea ni shujaa .
Jf,
Jimbo la Ubungo limeingiliwa na wanasiasa uchwara ambao kiukweli wanataka kuwapoteza wananchi bila huruma. Hivi kubenea mgombea wetu wa CHADEMA ni kweli kabisa unataka ubunge au unatania.
Ulisema kwa wananchi kuwa una ushahidi wa maufisadi ya Lowassa na Sumaye tangu mwaka 2008. Huo ushahidi umeuchoma moto au?
Je, leo umeamua kujiunga nao kwa roho moja na dhati ya moyo kabisa au unatafuta fursa tu ya ajira na maposho ya bungeni?
Je, wewe unataka kuwafanyia kazi wananchi kwa uwazi na uaminifu kabisa au unataka kufanya usanii.
Je, mbona hujamjibu Dr Slaa chochote alivyokushutumu kuwa baada ya kupewa hela na mafisadi ukaamua kuufyata mdomo.
Labda angekuwa kamanda mwingine au angebaki Mnyika tu kuliko hili tapeli. Halina hata sera kichwani uongo mtupu. Sijui kwa nini nilikua nanunua Gazeti la Mwanahalisi najutaaaa
Ububungo ni Masabuli Didas
mkishika dola si ndio mtatoana macho!Jf,
Jimbo la Ubungo limeingiliwa na wanasiasa uchwara ambao kiukweli wanataka kuwapoteza wananchi bila huruma. Hivi kubenea mgombea wetu wa CHADEMA ni kweli kabisa unataka ubunge au unatania.
Ulisema kwa wananchi kuwa una ushahidi wa maufisadi ya Lowassa na Sumaye tangu mwaka 2008. Huo ushahidi umeuchoma moto au?
Je, leo umeamua kujiunga nao kwa roho moja na dhati ya moyo kabisa au unatafuta fursa tu ya ajira na maposho ya bungeni?
Je, wewe unataka kuwafanyia kazi wananchi kwa uwazi na uaminifu kabisa au unataka kufanya usanii.
Je, mbona hujamjibu Dr Slaa chochote alivyokushutumu kuwa baada ya kupewa hela na mafisadi ukaamua kuufyata mdomo.
Chadema wangetuletea mgombea wa maana tungewaelewa, mnatuletea mpemba? peleka wawi huyo lakini sio ubungo. Ubungo watu wote wanajielewa kasoro hao wa barabarani. Piga chini mpemba huyo. ubungo sio sehemu ya makapi
Huo upuuzi wameshaurudia kwa kumchagua kubenea yaani wananchi hawajielewi. Kama chadema inatatua kero za wananchi kwa nii mnyika akimbie jimbo. Mtu aliefanya vizuri kwenye jimbo lake hawezi kukimbia jimbo.Wananchi wa ubungo wamepata shida miaka yote walikuwa wakimtegemea Mnyika, kawakimbia bila hata kutatua kero za wananchi. Leo hi unadhani wananchi wanataka kurudia upuuzi huo.
Jf,
Jimbo la Ubungo limeingiliwa na wanasiasa uchwara ambao kiukweli wanataka kuwapoteza wananchi bila huruma. Hivi kubenea mgombea wetu wa CHADEMA ni kweli kabisa unataka ubunge au unatania.
Ulisema kwa wananchi kuwa una ushahidi wa maufisadi ya Lowassa na Sumaye tangu mwaka 2008. Huo ushahidi umeuchoma moto au?
Je, leo umeamua kujiunga nao kwa roho moja na dhati ya moyo kabisa au unatafuta fursa tu ya ajira na maposho ya bungeni?
Je, wewe unataka kuwafanyia kazi wananchi kwa uwazi na uaminifu kabisa au unataka kufanya usanii.
Je, mbona hujamjibu Dr Slaa chochote alivyokushutumu kuwa baada ya kupewa hela na mafisadi ukaamua kuufyata mdomo.
Wakiitwa chadema asilia wewe utatoka