Kuna shule ya sekondari ukombozi nasikia ilikuwa chuo cha ualimu, Mzee Sitta akakibadili kuwa sekondari badala ya kujenga shule ingine. La ajabu, hata hiyo shule yenyewe kaitelekeza imechakaa haitamaniki, maeneo yake yanavamiwa na taasisi zingine kama CRDB bank na Magereza lakini yeye hajali. Ni majungu na fitina ndio anachojua huyu mzee.