Mimi ni mwenyeji wa Longido, mimi ni msomi.Jimbo la Longido limekuwa katika mikono ya CCM miaka yote. jimbo hili limekaliwa na kabila la wamaasai, moja ya makabila maarufu sana Afrika ya mashariki, ni kati ya majimbo yenye utarijiri mkubwa, lakini utajiri huu umewanufaisha wakubwa wa CCM na watoto wao. Mimi nina uchungu sana na Jimbo langu na ndugu zangu wamaasai. Mimi ni kijana mdogo sana, ila ninajua mengi sana.Yako mambo ambayo wamaasai tumedanganywa.
1. Tumeuzwa, kama wanyama wa pori, wazungu wanakuja na pesa zao kuja kuwaona wamaasai lakini pesa hizo zinaishia katika matumbo ya wakubwa.
2. Viongozi wetu wanaotuongoza hawana elimu ya kuweza kujua yanayoendelea, wamebaki katika kudanganywa na serikal ya JK.
Ndugu zangu wa Longido itakapofika wakati wenyewe ninawaomba mniunge mkono ili niweze kupata nafasi ya kuwatetea wanaLongido, nitatumia elimu yangu, mawazo yenu na ya CDM M4C, na ushauri wa watanzania wenye nia nzuri na Longido na Tanzania kwa ujumla, tuamke kwa sasa Longido for CHANGE.
Tunamuomba Mhe. Lekule Mbunge wa longido kama ana mtu amemuandaa hatumtaki, asituchagulie mtu wake, yeye ameshindwa, ajiandae kutukabithi Jimbo letu, nae kwa heshima akapumzike.