Yuko confirmed ila hatujajua sababu nini kinaendelea hapa. Hadi sasa watu wamejaa hapa ofisi za mkuu wa Wilaya wanaimba Chadema msilale lale lale,Chadema msilale bado mapambano. Wanataka kuvunja geti,duh risasi nyingine inalia watu wanatawanyika....hamna nyimbo tena ila polisi wako mbali.