Elections 2010 Jimbo la Hai - hali ni tete

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Hujuma kali inafanyika hapa Hai dhidi ya Mbunge wa Hai Mheshimiwa Freeman Mbowe. Hadi sasa Mbowe ameshinda ila kuna kila njama za kujaribu kumkwamisha.
Wananchi ni wengi toka asubuhi sana na wanataka kuonana na Mbunge wao mteule.
Hata hivyo kasoro kadhaa zimeanza kujitokeza ikiwemo watu inaosadikiwa ni wa ccm wakijaribu kuhamasisha watu wafanye fujo kwa lengo la kuichafua CHADEMA.
Vijana wa ulinzi wa CHADEMA wanafanya kazi nzuri ya kuwatuliza watu.
Kwa bahati mbaya mmoja wa askari wa kutuliza ghasia alifyatua risasi na kupelekea watu kukimbia ovyo.
 
waache hayo uchaguzi umeisha wampngeze mshindi..........mbona sisi hatun utamaduni wa kupongezana.
 
Yuko confirmed ila hatujajua sababu nini kinaendelea hapa. Hadi sasa watu wamejaa hapa ofisi za mkuu wa Wilaya wanaimba Chadema msilale lale lale,Chadema msilale bado mapambano. Wanataka kuvunja geti,duh risasi nyingine inalia watu wanatawanyika....hamna nyimbo tena ila polisi wako mbali.
 
Ah, hivi hamjajua NEC hawatangazi mpaka wasikia mtu kafa au nyumba imechomwa moto? Maafa yoyote yatakayotokea ni lazima huyu Kiravo abebeshwe. na sijui ni kwa nini amekuwa na roho ngumu namna hii, HE IS NOT A REAL HUMAN
 
Back
Top Bottom