omusiranga
Senior Member
- Apr 4, 2015
- 195
- 32
Wana jf. Ombwe hili la kuhama hama linaendelea. Tunawatakia kila lakheri. Ili mradi wasije baadae kula matapishi yao, kama walivyomeza matapishi makada wetu wa ukawa
Kajitambua huyo!!
Wana jf. Ombwe hili la kuhama hama linaendelea. Tunawatakia kila lakheri. Ili mradi wasije baadae kula matapishi yao, kama walivyomeza matapishi makada wetu wa ukawa
Huyu sasa ndo mwenye uchu wa madaraka
Lowa 2015 October