Ikiwa imebaki miezi michache kuelekea uchaguzi Mkuu,vuguvugu ndani ya majimbo mbalimbali ya uchaguzi linazidi kupamba moto,Wanaojitokeza kuwapa ushindani wabunge walio madarakani ni wengi,hii ni kutokana na wengi kutokukidhi matakwa na matarajio ya wananchi waliowachagua au kutokutimiza ahadi walizoweka.
Baadhi ya Mawaziri na Manaibu waziri hali si njema ktk majimbo yao,upepo huu wa dhoruba haujamkosa January Makamba,Naibu waziri wa Sayansi na Technolojia na Mbunge wa Bumbuli.
Joto la siasa ktk jimbo lake ni kubwa,na siasa ndani ya Jimbo la Bumbuli zinazidi kumpa upinzani ndani ya Chama chake cha CCM,hii ni kutokana na wananchi kukosa kile walichotarajia walipomchagua mwaka 2010.
Hali ya wakulima ndani ya jimbo la Bumbuli ni taabani,soko la Majani ya chai lilipatikana katika kiwanda cha Mponde Tea Factory ambacho kimefungwa kwa sababu za kisiasa kwa zaidi ya miaka mitatu,miundombinu ya barabara haina mabadiliko na vijana walioahidiwa ajira na mikopo kwa njia ya Foundation zimebaki hadithi tu.
Waliojitokeza kumpokea kijiti ndani ya CCM ndugu Makamba Jnr ni Mhandisi Abdulkadiri Abdu Mgheni Kaniki,mwaka 2010 Kaniki alishika nafasi ya Tatu ktk kura za maoni ndani ya CCM akiongozwa na Makamba Jnr na Mzee Shelukindo.Hivyo kwa wakazi na wananchi wa Bumbuli,Kaniki sio jina geni ktk harakati na siasa za Bumbuli.
Kumekucha kwa wana Bumbuli... Kaniki mtaalamu mhandisi alisoma shule ya msingi Fuumbai huko Soni,Forodhani Secondari,Mzumbe Secondari na hatimaye kuhitimu Shahada ya Mawasiliano-mbali (Tele-communication) toka chuo Kikuu Dsm (UDSM)
Ikimbukwe kuwa Jimbo la Bumburi ni sehemu ya ngome ya Chama cha Mapinduzi ktk mkoa wa Tanga.
Wana Bumburi tunahitaji mbadala wa "mgombea urais",ili wakati kama huu wengine wakiwaza kuyaendeleza majimbo yao wengine wanawaza Ikulu na kuchelewa kutuletea maendeleo,karibu tena Kaniki,Bumbuli tunakusubiri.