Andrew Chenge MITANO tena au mna mpango wa kumtosa mzee GENIOUS. Binafsi naona mzee hana sababu ya kuukosa ubunge kwani ana vigezo vyote Elimu, Uzoefu na Mbinu za kutosha, Vijana mmekosa vitu hivyo vitatu.

Huyo ni mmojawapo walioliingiza taifa kwenye umaskini kusaini mikataba ya kiwizi na ufisadi!!
Hafai hata kwa dawa!! Fisadi la CCM.
Ameficha mabilion ya fedha huko ulaya ukiviita ni vijisenti, bado wanamrudisha bungeni wanatunga sheria za kujilinda badala ya kuwapeleka magereza!!