Jimbo la Arusha Mjini linarudi CCM

Arusha mmetuangusha sana tumewashinda hata mbeya
 
Sio Rahisi kohivyo wacha Tarehe 8 utaona kitachotokea huko arusha na Mkutano utakuwa Televised
 


Hujambo?
Kuna taarifa nyingi zinasambaa sana kuwa umati uliokuja kumsikia magufuli ni wana arusha. Sio kweli mimi nilikua mratibu wa kanda ya kasikazini katika Mkutano uliopangwa kufanyika Arusha hii leo.

Kila mjumbe alitakiwa kuja na watu 100 kati ya wajumbe 200 kwa jimbo la arusha mjini tu.

Kiwanda cha A to Z cha mjini hapa kimewaamrisha wafanyakazi wote kuhudhuria huo mkutano la sivyo watapoteza sifa ya kuwa na kazi.

Acha majimbo mengine ambayo taarifa zake bado hazijapatikana.

Kwa ujumla watu waliokuja wengi wao wamepewa elf 10 _15 ndio wakaja.

Ccm arusha hawana chao.

Mimi mwenyewe ndio mratibu.

Asante.
 
Kama analysis yako ni wanaoouzuria hiyo mikutano, wapiga kura hata hatuhuzurii mikutano! IMEKULA
 
Mkuu hujaangushwa machalii Wa r wanakula hela za ccm ,kura zinapelekwa ukawa Oct 25 sio mbali utaamini

We jiandae tu kisaikolojia kuachia jimbo la Arusha sio udanganye eti vijana wamejitokeza kwa kulipwa! Nani kawalipa na malipo yamefanyikia uwanja gani maana kwa wingi ule ofisi yoyote haitoshi na kama walilipiwa uwanjani hiyo foleni ya malipo ilienda umbali gani na mbona hukuleta picha za foleni hiyo ya malipo na mabegi ya hela na mlipaji maana begi moja lisingetosha,.
 
kabla ya serekali za mitaa maneno yalikuwa hivyo.kumbukeni mdindisho bandia haumzalishi mbuzi panataka udinde kweli
 

Wewe mandazi nini unabisha nini wakati Mimi ni mmoja Wa vijana nliekula hela za Ccm Leo arusha
 
lema anapita hao wana fiesta na msururu wa mgombea urais watapita na arusa itabaki na wapiga kura wake halali
 

Arusha kipindi itaenda ccm? natumai umeanduka kujifurahisha pia ukachukue posho yako. hongera.
 
lema anapita hao wana fiesta na msururu wa mgombea urais watapita na arusa itabaki na wapiga kura wake halali

Bora hao wana fiesta wanapita tu ila nyie ukawa mmewapa na majimbo ya kugombea Kabisa akina Prof J, Kingwendu na wengine.
 
Mkuu kukosekana kwa amani arusha sababu ni selekali ya ccm.
 
Utawafanya kina Mungi wapagawe.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…