Jimbo Ipi Huipenda kusikiliza Night

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Eshima mbelee wadau Wengi wetu tuna penda Nyimbo za Ughaibuni Hususan

Night Coz Zina bembeleza Nakuufanya Usikuwako Kuwa Mororooo Na wenye Ladha yaainayake

Pembeni Ukiwa Na shemela Embu Tupia Nyimbo yako Moja Unae penda kuisikiliza

Kila Night Mi Napenda Bambi
Bambi by Jidenna is best one

152f2c999277c4fc2cec4642df39500b.jpg
 
Back
Top Bottom