Jimbo hili nachukua 2015

semako

Senior Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
102
Reaction score
6
Uwezo upo,nia ipo na sababu pia ipo;jimbo la Songwe wilaya ya Chunya.Jeuri hii inatokana na ushawishi mkubwa nilionao naomba wazee kwa vijana mnipe ushirikiano
 
Tanzania inakuwa maskini kutokana na kuwa na watu km wewe,km umekosa cha kuandka ungekaa kimya,au wewe ni jobless?
 
Jina lako kamili ni nani? Chama gani?Unayaweza mambo ya Songwe lakini kijana?
 
Uwezo upo,nia ipo na sababu pia ipo;jimbo la Songwe wilaya ya Chunya.Jeuri hii inatokana na ushawishi mkubwa nilionao naomba wazee kwa vijana mnipe ushirikiano

Kupitia chama gani???
 
Uwezo upo,nia ipo na sababu pia ipo;jimbo la Songwe wilaya ya Chunya.Jeuri hii inatokana na ushawishi mkubwa nilionao naomba wazee kwa vijana mnipe ushirikiano
Kwa chama gani?
 
nani'inbox kwamba ataptia chama cha UPDP
 
Heri wewe umetangaza mapema, kina lowasa wanatoana roho hata nia hawajatangaza. nakuonya usitoe rushwa hata wakikushawishi.
 
Iramba mashariki 2015 kitaeleweka zipi mbivu na zipi mbichi
 
Fafanua kidogo, nini mbichi na nini mbivu! ikiwa unamaanisha kumuondoa salome mwambu basi demokrasia iko juu mashariki mwa iramba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…